MUHIMU
1. Mstari wa mwaka: (Ezra 10:4) "Inuka maana shughuki hii yakuhusu wewe ;na sisi tu pamoja nawe;uwe na moyo mkuu ukaitende"
2. Wimbo no: 242 TUMSIFU MUNGU BWANA. Wimbo wa chaguo uwe wowote ila wimbo wa utamaduni uongozwe na mstari mkuu.
3. Matukio yote ya usharika/mtaa jimbo yaongozwe na neno kutoka kitabu cha Ezra10:4
4. Mtihani wa ufahamu wa Biblia unatoka kitabu cha Ezra. Kuanzia Ezra 5-10. Mstari mkuu ni Ezra 10:4
5. Uandaaji wa kalenda ya sharika/mitaa izingatie kalenda hii.
| JANUARY | KIKAO CHA OFISI KUU - JIMBO | TBA | ||
| 3 | KIKAO CHA OFISI KUU - USHARIKANI | KURASINI | ||
| 8 | MKESHA WA MAOMBI DMP | MAGOMENI | ||
| 16 | USAFI KANISANI | KURASINI | ||
| 23 | KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI - KURASINI | MNG'ARU | MIPANGO NA UCHUMI | |
| 23 | JOGGING | KURASINI | MICHEZO & MAIGIZO | |
| 24 | KIKAO CHA KAMATI KUU | TANDIKA | ||
| 25 | SIKU YA MCHUNGAJI NA VIJANA | KURASINI | ||
| FEBRUARY | 19 | KUMTEMBELEA MCHUNGAJI | KURASINI | MATUKIO NA MAHUSIANO |
| 20 | JOGGING | KURASINI | ||
| 26-28 | SEMINA YA VIONGOZI DMP | TBA | ||
| 25 | SIKU YA MCHUNGAJI NA VIJANA | KURASINI | ||
| MARCH | 19 | KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI | CHARAMBE | |
| 19 | JOGGING | KURASINI | ||
| 20 | KUPATA CHAKULA CHA JION NA WATOTO YATIMA | SABASABA | MATUKIO NA MAHUSIANO | |
| 24 - 28 | KUTEMBELEA MBUGA YA WANYAMA NA SEMINA | SADANI | MATUKIO NA MAHUSIANO | |
| 26 | MTIHANI WA UFAHAMU WA BIBLIA | KONGOWE | UIMBAJI NA UINJILISTI | |
| APRIL | 9 | MTIHANI WA UFAHAMU WA BIBLIA DMP | WAZO HILL | UIMBAJI NA UINJILISTI |
| KIKAO CHA OFISI KUU - JIMBO | ||||
| 15 | KUMTEMBELEA MWINJILISTI | KURASINI | MAHUSIANO NA MATUKIO | |
| 16 | KIKAO CHA KAMATI YA KUU | MBAGALA | ||
| KIKAO CHA OFISI KUU - USHARIKANI | ||||
| 23 | JOGGING | KURASINI | MICHEZO & MAIGIZO | |
| 25 | SIKU YA MCHUNGAJI NA VIJANA | KURASINI | ||
| 26 | USAFI KANISANI | KURASINI | MAHUSIANO NA MATUKIO | |
| MAY | 1 | KUSIFU NA KUABUDU DMP | UBUNGO | |
| 7 | SEMINA YA UJASIRIAMALI | KURASINI | MIPANGO NA UCHUMI | |
| 15 | TAMASHA LA UIMBAJI | KEKO | UIMBAJI NA UINJILISTI | |
| 21 | JOGGING | KURASINI | MICHEZO & MAIGIZO | |
| 27 | MKESHA WA MAOMBI NA MAOMBEZI | KURASINI | UIMBAJI NA UINJILISTI | |
| 30 | SIKU YA MCHUNGAJI NA VIJANA | KURASINI | ||
| JUNE | 5 | KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI | NZASA KILUNGULE | |
| 11 | MASHINDANO YA UIMBAJI | MTONI | UIMBAJI NA UINJILISTI | |
| 12 | KIKAO NA VIJANA WOTE | KURASINI | OFISI KUU | |
| 18 | JOGGING | KURASINI | MICHEZO & MAIGIZO | |
| 19 | MECHI YA MPIRA WA MIGUU | KURASINI | MICHEZO & MAIGIZO | |
| 25 | MASHINDANO YA UIMBAJI | Y/KUU | UIMBAJI NA UINJILISTI | |
| KIKAO CHA OFISI KUU - USHARIKANI | OFISI KUU | |||
| 27 | SIKU YA MCHUNGAJI NA VIJANA | KURASINI | ||
| JULY | 2 | SEMINA YA KIROHO | KURASINI | UIMBAJI NA UINJILISTI |
| 3 | SIKUKUU YA VIJANA KATIKA SHARIKA/MITAA | MAJIMBONI | VIONGOZI WOTE | |
| 3 | UZINDUZI WA AUDIO NA VIDEO YA KWAYA YA VIJANA | KURASINI | UIMBAJI NA UINJILISTI | |
| 7 | USAFI KANISANI | KURASINI | MAHUSIANO NA MATUKIO | |
| 23 | JOGGING | KURASINI | MICHEZO & MAIGIZO | |
| 25 | SIKU YA MCHUNGAJI NA VIJANA | KURASINI | ||
| 9 July - 16 July | KONGAMANO LA VIJANA JIMBO | TBA | ||
| AUGUST | KIKAO CHA OFISI KUU - JIMBO | OFISI KUU | ||
| 7 | KIKAO NA VIJANA WOTE | KURASINI | OFISI KUU | |
| 8 | USAFI KANISANI | KURASINI | MAHUSIANO NA MATUKIO | |
| 13 | KIKAO CHA KAMATI KUU | TANDIKA | ||
| 20 | MASHINDANO YA MAIGIZO | MAGOGONI | MICHEZO & MAIGIZO | |
| 28 | KUSIFU NA KUABUDU DMP | KKOO | ||
| 29 | SIKU YA MCHUNGAJI NA VIJANA | KURASINI | ||
| SAFARI YA MALAWI | KURASINI | UIMBAJI NA UINJILISTI | ||
| SEPT | 3 | MASHINDANO YA MAIGIZO DMP | KISARAWE | MICHEZO & MAIGIZO |
| 10 | BONANZA LA MICHEZO - VIJANA KURASINI | COLLEGE | MICHEZO & MAIGIZO | |
| 17 | BONANZA LA MICHEZO | KIBASILA | MICHEZO & MAIGIZO | |
| 23 | MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU | KURASINI | UIMBAJI NA UINJILISTI. | |
| 26 | SIKU YA MCHUNGAJI NA VIJANA | KURASINI | ||
| 30 | KUMTEMBELEA PARSH WORKER | KURASINI | MAHUSIANO NA MATUKIO | |
| OCTOBER | 14 | USAFI KANISANI | KURASINI | MAHUSIANO NA MATUKIO |
| 14 | SIKU YA MAOMBI JIMBO | TANDIKA | ||
| 22 | JOGGING | KURASINI | MICHEZO & MAIGIZO | |
| 24 | SIKU YA MCHUNGAJI NA VIJANA | KURASINI | ||
| 23 & 30 | SAFARI YA MISIONI RUFIJI,IKWIRIRI,KIBITI | |||
| 29 | KUTEMBELEA WATU MAALUM (MATEJA) | KIGAMBONI | MAHUSIANO NA MATUKIO | |
| NOVEMBA | 7 Nov - 13 Nov | WIKI YA AFYA NA KILELE CHAKE | M/EXTERNAL | |
| 18 | KIKAO CHA OFISI KUU - USHARIKANI | |||
| 19 | KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI - KURASINI | KURASINI | ||
| 19 | JOGGING | KURASINI | MICHEZO & MAIGIZO | |
| 20 | KIKAO CHA VIJANA WOTE KURASINI | KURASINI | OFISI KUU | |
| 25 | MKESHA WA MAOMBI DMP | KIJITONYAMA | ||
| 27 | CHANGIZO KWA AJILI YA ENEO LA MKWANDALA | KURASINI | ||
| 28 | SIKU YA MCHUNGAJI NA VIJANA | KURASINI | ||
| DESEMBA | KIKAO CHA OFISI KUU - JIMBO | |||
| 9 | USAFI KANISANI | KURASINI | MAHUSIANO NA MATUKIO | |
| 10 | KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI | TOANGOMA | ||
| 11 | MECHI YA MPIRA WA MIGUU | TBA | MICHEZO & MAIGIZO | |
| 17 | SEMINA YA KIROHO | KURASINI | UIMBAJI NA UINJILISTI | |
| 18 | KIKAO CHA KAMATI KUU | MTONI | ||
| 24 | JOGGING | KURASINI | MICHEZO & MAIGIZO |