Monday 20 November 2017

Chakutumaini Sina - Wimbo wa Vijana

Moja ya wimbo wa Vijana Kurasini.

Unaweza kuupata kwa kuclick hiyo link hapo chini.

https://www.youtube.com/watch?v=sabScOXIErM


Thursday 10 August 2017

Yohana 3:16: Neno la Wokovu

  • ''Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.'' 

Tuesday 21 March 2017

Mashindano ya Uimbaji DMP

https://www.youtube.com/watch?v=O498m7qlXuw


Kwaya ya vijana Kurasini wakipanda jukwaani


Wednesday 1 February 2017

MKESHA MKESHA MKESHA- KKKT JIMBO LA KUSINI 03rd FEB 2017


TANZIA TANZIA TANZIA - KKKT USHARIKA WA KURASINI

Uongozi wa Umoja Wa Vijana Usharika Wa Kurasini unasikitika kuwataarifu Vijana na Washarika wote wa Kurasini kuondokewa kwa Aliekua Mzee wa Kanisa na Katibu Msaidizi wa Balaza La wazee Mzee Akyoo.


Mzee wetu alitutoka siku ya Jumamosi Tar 28 Jan 2017 Saa 3 Asubuhi katika Hospitali ya Taifa- Muhimbili.

Msiba upo nyumbani kwake Polisi barrack Block C.

Ratiba Ya Mazishi tutazidi kuwataarifu.

Bwana Ametoa Na Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe.
Amen



Tuesday 31 January 2017

Kalenda Ya Vijana KKKT Kurasni 2017

KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
JIMBO LA KUSINI
UMOJA WA VIJANA USHARIKA WA KURASINI
(UVIKIUKU)
KALENDA YA MATUKIO YA VIJANA KWA MWAKA 2017
Kwa maana nimeokolewa kwa neema,kwa njia ya imani (Efeso 2:8)
MWEZI
TAREHE
TUKIO
MAHALI
JANUARY
13
KIKAO CHA OFISI KUU
TEMEKE

15
KIKAO CHA KAMATI KUU
TANDIKA

22
TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU DMP
KIMARA

28
ZIARA YA KUTEMBELEA MASHAMBA MKWANDARA
MKWANDARA




FEBRUARY
3
MKESHA WA MAOMBI JIMBO
KURASINI

10-12
SEMINA YA VIONGOZI WA MAJIMBO
T.B.A

25
IBADA YA MAOMBI-UMOJA WA MAKANISA
SALVATION ARMY




MARCH
5
KIKAO CHA VIONGOZI-UVIKIUKU
KURASINI

19
KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI
KIBADA

25
MTIHANI WA UFAHAMU WA BIBLIA JIMBO
CHAMANZI




APRIL
8
MTIHANI WA UFAHAMU WA BIBLIA DMP
CHANIKA

23
SAFARI YA KWAYA YA VIJANA
KIMARA B

23
TAMASHA LA SANAA
MTONI

29
TAMASHA KUBWA LA VIJANA
T.B.A


KIKAO CHA OFISI KUU
T.B.A




MAY
1
SEMINA YA UJASIRIAMALI
BUZA

7
KIKAO CHA VIONGOZI UVIKIUKU
KURASINI

7
KAMATI KUU DMP
MBEZI LOUIS

14
KIKAO CHA KAMATI KUU
KEKO

16
MKESHA WA VIJANA DMP
MABIBO EXTERNAL

27
BONANZA LA MICHEZO JIMBO
KIBASILA




JUNI
2
MKESHA WA MAOMBI
KURASINI

10
KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI
KISIWANI

18
IBADA YA UZINDUZI WA SIKUKUU YA JUMA LA VIJANA  (VIONGOZI 6 SHARIKA NA MITAA)
KINONDONI IBADA YA PILI

24
FUND-RAISING
KURASINI




JULY
2
SIKUKUU YA VIJANA SHARIKA NA MITAA
MAJIMBONI

7-9
SEMINA YA VIJANA - JIMBO
T.B.A

16
SAFARI YA KWAYA YA VIJANA
MBAGALA




AUGUST
5
KIKAO CHA KAMATI KUU
MTONI

19
MAIGIZO JIMBO
VETENARY

27
MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU
KURASINI




SEPTEMBER
2
MAIGIZO DMP
TAMBAZA

10
KAMATI KUU DMP
KIBANGU

23
SAFARI YA MISSION
KIBITI




OCTOBER
14-15
SAFARI YA UMOJA WA VIJANA
T.B.A

27
MKESHA WA MAOMBI
KURASINI

28
KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI
CHARAMBE
NOVEMBER
18
MASHINDANO YA UIMBAJI JIMBO
VITUKA

25
KIKAO CHA KAMATI KUU
TEMEKE




DESEMBER
2
UIMBAJI DMP
KURASINI

3
MKUTANO MKUU WA VIJANA -UVIKIUKU
KURASINI

8/9
MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU
MBAGALA

17
KUSIFU NA KUABUDU DMP
UBUNGO


ZINGATIA
1)       MSTARI UNAOTUONGOZA KWA MWAKA 2017 NI KUTOKA EFESO 2:8 KWA MAANA NIMEOKOLEWA KWA NEEMA, KWA NJIA YA IMANI; AMBAYO HIYO HAIKUTOKANA NA NAFSI ZENU, NI KIPAWA CHA MUNGU.
2)       MATUKIO YOTE YAONGOZWE NA MSTARI WA MWAKA
3)       IBADA YA UZINDUZI WA JUMA LA VIJANA KUELEKEA SIKUKUU ITAKUWA NI IBADA YA VIONGOZI WOTE WA SHARIKA NA MITAA NA VIONGOZI WOTE WATASALI IBADA YA PILI USHARIKA WA KINONDONI.
4)       SIKUKUU YA VIJANA KWA SHARIKA NA MITAA ITAFANYIKA TAREHE 2/7/2017 TU, KWA MUJIBU WA KALENDA YA KKKT 2017
5)       UIMBAJI UONGOZWE NA WIMBO NAMBA 380 KATIKA KITABU CHA TMW , WIMBO NI MABETI MANNE AMBAO NDIO WIMBO WA SIKU,WIMBO WA CHAGUO UWE WOWOTE LAKINI WA UTAMADUNI LAZIMA  UONGOZWE NA MSTARI WA MWAKA.
6)       MTIHANI WA UFAHAMU WA BIBLIA UTATOKA KATIKA KITABU CHA EFESO 1-6
7)       UANDAAJI WA KALENDA YA SHARIKA NA MITAA NAOMBA UZINGATIE KALENDA YA JIMBO
8)       IKITOKEA TUKIO LA DAYOSISI AU JIMBO LIMEGONGANA NA TUKIO LA SHARIKA/ MTAA, TUKIO HILO ITABIDI LISOGEZWE MBELE KUPISHA TUKIO LA DAYOSISI AU JIMBO

9)       KILA KALENDA YA SHARIKA NA MITAA AMBAYO IMEANDALIWA NAOMBA IFIKE KWA OFISI KUU JIMBO KUPITIA KAMATI YA MIPANGO.