Thursday, 22 January 2015

R.I.P Julieth Mbwambo

Mnamo tarehe 8 Jan 2015 Usharika wa kurasini tulimpoteza ndugu yetu,mwana kwaya mwenzetu, bibi yetu Julieth Mbwambo.

Kwa niaba ya uongozi wa vijana usharika wa kurasini, Kwa simanzi nyingi sana tunatoa salamu za rambi rambi kwa familia yake, kwaya kuu pamoja na usharika wa kurasini kwa ujumla kwa kuondokewa na mwenzetu.

Bwana ametoa na bwana ametwaa, Jina la bwana libarikiwe.

M/kiti
Elly Emmanuel

No comments:

Post a Comment