Tuesday, 10 March 2015

Mashindano ya Biblia Jimbo la Kusini

Uongozi wa Umoja wa vijana jimbo la kusini

Taarifa
Tunapenda kuwataarifu kua vijana 8 wa umoja wa vijana usharika wa kurasini walituwakilisha katika mashindano ya biblia kwa jimbo letu la kusini

Matokeo

Vijana wenzetu walijitahidi sana na tunawapongeza sana kwa kuweza kuingia kwenye kumi bora katika ya vikundi 18 vilivyoshiriki.

Mungu awabariki sana na tuendelee kujitoa hivi hivi kwa wakati huu ambapo tunaingia kwenye mazoezi ya mashindano ya Uimbaji.

No comments:

Post a Comment