Viongozi nane waingizwa kazini rasmi. (m/kiti Elly Emmanuel, M/kiti Msaidizi Innocent, Katibu Lizzy, Katibu Msaidizi Baby Mbonea, Mtunza hazina Damari, Mtunza hazina msaidizi Alpha, M/kiti wa kwaya Johannes na katibu wa kwaya Hellena.
Viongozi wa vikundi vyote usharikani kurasini wakiwa wanabarikiwa na kuingizwa kazini rasmi na mchungaji kiongozi wa usharika wa kurasini Mch. Dr Yusuph Ngaleni.
Vijana wakifanya usafi usharikani (Irene na jacky mgonja)