Kwaya ya vijana usharika wa kurasini inatarajia kutoa shukrani ya pekee mnamo tarehe 28 Dec 2014 kumshukuru Mungu kwa mambo mengi aliotufanyia katika mwaka huu wa 2014.
Shukrani hiyo itatolewa katika ibada ya pili (saa 1:30 asubuh) katika usharika wa kurasini.
Ukiwa kama kijana au msharika unaombwa kutusindikiza wanakwaya katika shukrani hii kwani tuna amini kua kwa namna moja au nyingine na wewe pia unalo jambo au sababu ya kumshukuru Mungu.
Bwana akubariki sana na tunakutakie heri ya kristimasi na mwaka mpya.
Wako katika kristo
Johanes Jasson
Mwenyekiti wa kwaya ya vijana
KKKT kurasini
No comments:
Post a Comment