Tuesday, 10 March 2015

Bonanza la Vijana KKKT kurasini Mjini Bagamoyo lafana sana

Bwana Yesu Asifiwe.
Uongozi wa umoja wa vijana usharika wa kurasini unapenda kumshukuru Mchungaji Kiongozi, baraza la wazee na vijana wote mlioshiriki na kuweza kufanikisha safari hii ambayo ilituje kimwili na kiroho.

Ni Imani yetu kua vijana tulioweza shiriki tulijifunza kitu kipya na pia kuweza kupata marafiki wapya.

Mungu Awazidishie moyo wa kujitoa.



























1 comment: